DCEA yamnasa ‘Mama Dangote’wa biashara ya mirungi’ wilayani Same
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola,vinapaswa kupongezwa kutokana na kazi kubwa wanayoifanya ya kukabiliana na ‘majangili wa afya za watanzania’
Soma zaidi
Tanzania,Uingereza kushirikiana kuendeleza Sekta ya Madini
Tanzania,Uingereza kushirikiana kuendeleza Sekta ya Madini
Taasisi za Jiolojia na Utafiti Madini za Tanzania na Uingereza kushirikiana.
Soma zaidi
Waziri Mavunde asimamisha shughuli za uchimbaji madini katika Mto Zila
WAZIRI wa Madini,Anthony Mavunde amesimamisha shughuli za uchimbaji madini zilizokuwa zikifanywa na Kampuni ya G & I Tech Mining Company Ltd kwa kipindi cha masika hadi itakapofanyika tathmini ya kitaalam ya mazingira juu ya shughuli za uchimbaji kwenye Mto Zila.
Mavunde ametoa agizo hilo Desemba 30, 2024 katika Kijiji cha Ifumbo, wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya wakati alipotembelea eneo la leseni ya mwekezaji ambalo lilivamiwa na wananchi na kusababisha mgogoro mkubwa na uharibifu wa mali .
Matukio Yetu
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limeendelea kuandika historia mpya baada ya Serikali kulipa kandarasi ya kujenga majengo ya Wizara nane katika Mji wa Serikali wa Mtumba jijini Dodoma.
Maktaba yetu ya Dijitali
Ikiwa ungependa kuona maktaba yetu ya kidijitali bofya ili upate maelezo zaidi ili kuona hati zote asante.
Somo zaidi
Bajeti Anafanya Nini?
inachapisha habari
zilizofanyiwa kazi kupitia vyanzo sahihi ili kuleta suluhisho na kuuhabarisha umma juu ya kazi mbalimbali zinazofanywa na Serikali,mahirika ya kibinafsi,Taasisi pamoja na kero zinazoihusu jamii kwa maendeleo ya taifa.
Miradi Yetu
Soma zaidi
Washirika wetu
Bajeti imefanya kazi na washirika mbalimbali wa maendeleo kutekeleza miradi nchini Tanzania na katika nchi nyingi sana za Afrika. Bajeti amefanya kazi na washirika tofauti ndani na nje ya nchi, na kufanikisha kazi na miradi aliyopewa kwa mafanikio.
Soma zaidi
Wateja Wetu
Wateja wetu wako wa makundi matatu; Mashirika ya Umma, ya Kibinafsi na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali au Mashirika ya Kiraia. Jifunze zaidi.
Soma Hapa
Tofuti yetu
Bajeti ina idadi ya matukio ambayo pia yanaweza kupatikana au kutazamwa kupitia blogu zetu Blogu zetu
Bofya Hapa
Mafunzo
Bajeti ni Taasisi inayojishughulisha na utoaji wa habari kwa kufuata sheria za nchi yetu ya Tanzania ili kuuharisha umma juu ya masuala mbalimbali ya kijamii,kitaifa na kimataifa kwa maendeleo ya taifa letu.
Soma zaidi..
Shirika la Nyumba la Taifa(NHC)nchini Tanzania limekuwa moja ya Shirika lenye ufanisi katika kutatua changamoto ya makazi kwa kujenga majengo ya ya kisasa ya biashara,nyumba za kuuza na kupangisha katika mikoa mbalimbali nchini lakini NHC pia ni Mkandarasi anayejitosheleza kwa kila kitu hivyo kupewa kazi ya kujenga majengo ya wizara nane na mengine mawili akiwa kama mkandarasi mshauri katika Mji wa Serikali Mtumba (Magufuli City) jijini Dodoma
Kwa sasisho la sasa fuata media zetu
Habari zaidi